Friday, 31 July 2015
Saturday, 25 July 2015
# Hii ndiyo sababu kubwa ya wanawake wengi kupenda kuliwa tigo.
Tunapoamua
kufanya jambo sio kwamba tunafuata mkumbo au kulazimishwa bali ni our choice
Kufanya ng0no kusiko a.k.a 0713 “MWIKO” katika jamii nyingi Ulimwenguni sio kwa
vile tu inamaanika kuwa ni uchafu na inamadhara makubwa ya kimwili, kiakili na
kiafya bali ni kinyume na mafundisho ya imani zetu za Dini.
Kinachofanyika chumbani ni uamuzi wenu ninyi wawili mnaopendana ikiwa tu mtakubaliana na kufanya hivo na pia ni siri yako wewe na mpenzi wako, kuna wapenzi wengi tunafanya mambo ya ajabu sana na watu tunaowapenda na tunafurahia na tunazidi kupendana na kutakana zaidi na zaidi kila siku….lakini mambo hayo ni “tab0o” ktk jamii kama ilivyo kwa Tigo au Ukware/uziNz!
Kuna baadhi ya watu (wake kwa waume) hujaribu na kisha wanajikuta wanafurahia na hivyo wanaendelea na kuna wengine hutaka kujua “unajisikiaje” lakini wanajikuta hawafurahii au mmoja wao hafurahii na hivyo wanaacha na kutorudia tena tendo hilo la mugongo-mugongo.
Pamoja na kuwa watu kuheshimu miiko ya dini zao, kupinga na kulisema vibaya tendo hili wachunguzi wa mambo ya Tigo wanadai kuwa mwanamke mmoja kati ya wanne anashiriki ngono ya nyuma (sasa hii sijui ni kuridhisha wapenzi au ni wao wanafurahia)…….wazoefu watusaidie hapa.
Ukweli kuhusu Tigo.- Sio tendo asilia ktk swala zima la ng0no na mapenzi hivyo kumbuka unapoamua kugawa tako kuwa na uhakika ndio kitu unataka kukifanya na sio kukifanya kwa vile “mchumba” kaomba/anataka…..wewe ndio mwenye maamuzi makuu ya nini unataka kifanyike mwilini mwako.
Kama unahisi unachokwenda kukifanya sio “n*atural*” na hujisikii vema kushiriki ng0no Tigo basi acha/kataa kufanya hivyo.
-Mara mishipa ya Tigo ikitanuka kutokana na kufanywa huko mara kwa mara huwa haijirudi kama ilivyo kwenye uke kwa vile haikuumbwa kwa ajili ya shughuli hiyo.
-Wengi tunaamini kuwa kufanywa nyuma ni kwa mashoga tu lakini kuna wanawake wanafurahia kama ilivyo ngono ya mdomo na baadhi hujigeuza kama njia mbadala ya kuzuia mimba au kulinda bikira (zaidi ni ktk jamii ya waarabu).
-Ukizoea sana kupigwa nyuma na mishipa ya huko kutanuka, basi inasemekana kuwa utatatizwa wakati wa kujifungua/kuzaa, si hivyo tu bali unaweza ukawa na tatizo la kuvuja mkojo kwani hutoweza kukaza tena misuli yako ukeni ambayo hulegea baada ya kuzaa.
Swala muhimu sio kutisha watu bali kuwaelimisha na kuwaachia wao wachague mchele upi na pumba zipi. Ukiangalia yale yote yanayokatazwa au kuitwa miiko ndiyo yanayofanywa zaidi kuliko yale tunayoruhusiwa kuyazungumzia na kuyatenda.
MADHARA MAKUU NI:
Mwanamke anayefanyiwa mchezo huu hupata matatizo makubwa wakati wa kujifungua ikiwa ni pamoja na kutokwa na haja kubwa mfululizo wakati akijaribu kumsukuma mtoto.
Tukio hili humsababishia aibu kubwa mwanamke, kiasi cha kumshushia hadhi yake mbele ya jamii.
Umri unaposonga, haja kubwa hutoka bila kizuizi kutokana na misuli ya sphincter inayobana njia ya haja kubwa kulegea.
Inaweza kusababisha saratani ya eneo hilo ‘cancer of col0n’.
Ugonjwa wa UTI, yaani uambukizi kwa njia ya mkojo, huwa sugu, maana akitokea mwanaume alifanya kitendo hicho kisha akafanya ngono kama kawaida, bakteria wanaoishi sehemu hiyo wanaingia na kuwa na madhara makubwa.
hasara yake kubwa mwanaume anayekufanyia mchezo huwa hawezi kukuoa, pia ni rahisi kukutangaza kwa jamaa zake na kuonekana kituko mbele za watu, kama umeolewa heshima yako hupungua ndani ya ndoa.
Paparaziwetu inakushauri na inapinga kwa nguvu zangu zote swala la Ng0no kusiko (tigo) ila na heshimu chaguo/uamuzi wako…..wewe ndio mweye mwili na unafanya vile utakavyo.
Ushuri wa bure-Jiheshimu na thamini mwili wako…..usitoe tako lako kama dawa ya kumfanya mume asitoke nje au akupende zaidi…..ni aibu mumeo akikuta nyuma jamaa waliwahi pia.
Pia anaweza kumuua mtoto kwa vile kila akimsukuma atoke, pumzi hukata kutokana na misuli inayofahamika kwa jina la ‘sphincter’ kulegea na kusababisha ambane mtoto.

#Lulu: Nyumba niliyomzawadia mama yangu sijahongwa....Nimeijenga kwa miaka minne
Mwanzoni mwa mwaka huu (2015) mrembo na muigizaji wa filamu,
Elizabeth “Lulu” Michael aliwa-surprise watu wengi pale alipomzawadia mama yake
nyumba aliyojenga Kimara, jijini Dar es- Salaam.
Je Lulu aliwezaje kufanya mambo makubwa kama hayo katika umri mdogo na kwa
kipato cha kuigiza peke yake? Hayo ni maswali ambayo wengi walijiuliza, kiasi
cha kuwafanya wengine waamini kuwa labda amehongwa.
Lulu
amesema kuwa nyumba hiyo alianza kuijenga kidogo kidogo miaka minne iliyopita
kwa kile alichokuwa anakipata kupitia kazi yake ya uigizaji, lakini watu wengi
hawakufahamu mpaka siku alipoitoa kama zawadi kwa mama yake.
“Kiukweli ile nyumba nimeanza kujenga nikiwa bado mdogo sana, ni nyumba ya chini ya kawaida lakini nilikuwa najenga kidogo kidogo, kwamba leo nikipata laki nampa mama leo kaongezee hiki…kwahiyo ni kwasababu mtu hajui atashangaa Lulu kapata wapi hela za vuuup, lakini ni kitu ambacho kimeenda kidogo kidogo imechukua hata miaka minne..kwahiyo mtu atashtuka kwasababu ameiskia leo sasa ndo hivyo mtu ataanza kusema kahongwa hajui background.” alisema Lulu kupitia The Sporah Show.

#Utata mpya umeibuka mtoto wa Diamond .
Utata mpya umeibuka
mtoto wa Diamond Utata mpya umeibuka wakati mama kijacho wa staa wa Bongo
Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’,
akitarajiwa kujifungua muda wowote kutoka sasa, ishu ni juu ya uraia wa mtoto
atakayezaliwa. Habari kutoka kwa mtu wa ndani wa familia hiyo zilidai kwamba,
utata umezidi kuigubika familia hiyo kwa kile kinachodaiwa kuwa ndugu wa pande
zote kuendelea kuvutana juu ya Zari ajifungulie nchi gani kati ya Tanzania,
Uganda na Afrika Kusini ‘Sauz’. Utata huo umevuja wakati paparazi wetu akiwa
katika mishemishe za kutaka kujua Zari alipo kwa sasa na atajifungulia katika
hospitali ipi ndipo alipopenyezewa ‘ubuyu’ kwamba hadi sasa kuna utata mkubwa
katika familia hiyo. Chanzo kilimweleza mwanahabari wetu kuwa, kikubwa ni
mabishano ya uraia na sehemu sahihi ya kujifungulia mtoto huyo. Kilidai kwamba,
suala hilo limekuja kufuatia ndugu wa Zari kutaka ajifungulie Sauz jambo ambalo
Diamond na familia yake wamekuwa wakilipinga vikali. Ilisemekana kwamba, kwa
upande wake Zari amekuwa njia panda kutokana na shinikizo hilo huku mama
Diamond, Sanura Kassim ‘Sandra’ naye akisisitiza kuwa lazima Zari ajifungulie
Bongo ili amuhudumie mkwe wake huyo. “Yaani ndugu wa Zari wanampa Diamond
wakati mgumu sana kutokana na kuendelea kung’ang’ania Zari akajifungulie kwao
(Sauz ambako kuna ndugu wengi) wakati furaha ya Diamond ni kuona mtoto
akizaliwa Bongo. “Unaambiwa Diamond amechachamaa vibaya, alipoona hawezi
kutumia nguvu ikabidi atumie ushawishi kwa ndugu wa Zari ili wakubali
ajifungulie Bongo lakini wale ndugu wanasema wako tayari kumtumia hata ndege
kwa sababu yupo Bongo, arudi Sauz ambako kuna daktari wao wa familia. Paparazi
wetu baada ya kunyaka utata huo alimtafuta laivu Diamond kwa kujiridhisha zaidi
juu ya hilo ambapo baada ya kumpata alifunguka kwamba, kipindi hiki kuna mambo
kibao yanaibuka kila kukicha jambo linalomshangaza. Alisema kuwa utata huo
alishamalizana nao ndiyo maana hadi muda huu Zari yupo Dar kwa ajili ya
kujifungua. “Ninachoweza kusema kwenye maisha ya kawaida huwezi kuwazuia watu
kuongea jambo wanaloliwaza wao. “Hayo mambo ya utata nimeshayamaliza ndiyo
maana kwa sasa Zari yupo White House (nyumbani kwa Diamond, Tegeta-Madale
jijini Dar) akisubiria saa ya kujifungua. “Kwangu namuomba Mungu ajifungue
salama maana mtoto ni miongoni mwa vitu nilivyotamani kitambo,” alisema Diamond
huku akiwashukuru Watanzania wote wanaoendelea kumuunga mkono kwenye muziki
wake.
Monday, 20 July 2015
Sunday, 19 July 2015
USIONE MWANAUME KATULIA KWENYE NDOA UKAJUA KAENDEWA KWA MGANGA, UGANGA TUNAO WENYEWE.
Jana tulikua na kamjadala karefu kidogo kuhusu hawa wandugu kitu
gani wanataka ili watulie ndoani. Nami nimeyachuja, nikaongeza na tu chumvi
kidogo ili kunogesha. haya si maneno yangu. Ni yakwao wenyewe. Mwenye macho na
asome na mwenye kusikia asikilize sauti yake mwenyewe ikisoma....... Usione
mwanaume katulia na mkewe ukaanza kuuliza mke kamwendea kwa mganga yupi,uganga
tunao wenyewe wanawake shutu kuwajibika;
1. Kumjali mumeo kadri uwezavyo. Usipo mjali wengine wataja saidia kumjali. Mfano …..kuna watu hapa hata hawajui leo mume wake kava nini!! Wengine hata soksi za waume zao haawajui ziko ngapi. Mume anaenda kazini hata hukumbuki kava shati rangi gani. Akipita na kimada mbele yako unaanza kujiuliza, sijui ndo Yule……. Mbona shati ka lake??? Hivi leo alivaa shati ile eh……! Jipange mwanamke
2. Jifunze kuhusu mapenzi na mbinu mpya…. Hii nadhani wanasema ubunifi uwe mara dufu hasa chumbani. Sio mbaya hata mkizungumza na wanawake wenzenu mkapata maujuzi mapya. Style zile apendazo mumeo ndo mwake. Basi hata japo uliza mume wangu vipi hii… nah ii je!! Na Msijisahau, yale masham sham ya uchumba yaendelee mpaka kwenye ndoa.
3. Tuwaelewe waume zetu kutokana na hali zao. Mfano kachoka, anamatatizo. Usiwe wakati wa sisi kuanza lawama. Mume kapata msiba, wewe ndo unapeleka shida zako. Atakuona hovyooo kabisa.
4. Usafi wa nyumba, mwili mzima bila kusahau kinywani. Na uvae vizuri uvutie. Hapa hasa ni usafi na kujipenda. Usione uvivu kujipamba ukiwa kwako na mumeo. Shurti bi mdachi unukie vizuri. Chmba chako sio kinanuka mikojo ya mtoto. Na wanao pia wawe wasafi jamani.Mume anazidi kupata hamasa ya kuwa karibu na familia. Mjitunze vizuri kipindi cha uzazi…. Sio mnanuka maziwaaaa. Yani mazingira yooote yawe ya kushawishi. Nyumbanyingine ukikanyaga tu sakafu, mchaka kama upon je.
5. Jikoni pia uwe mbunifu. Na upate nafasi ya kumpikia mumeo chakula wewe mwenyewe sio kila siku dada wa kazi ndo mpishi. Mume asipate hamu ya kula baa. Kama ni mpenzi wa pombe basi aishie kunywa tu, msosi ataupata kwa mkewe.
6. Kelele majumbani. Hapa wanawake tuache midomo. Kitu kidogo maneno kibao. Kila saa wewe tu ndo unaekerwa. Huishi lawama. Mara nyingine tuchague kukaa kimya, au hata kama tunasema basi kwa sauti ya chini. Si vizuri kumpandishia mumeo sauti hata kama kakosea sema nae tara tara. Na tone zetu ziwe zile za mahaba. Sio umekaza sauti ka unaamrisha gwaride mweh!!!
7. Mnapokosa mkubali makosa na muombe msamaha. Wanaume wanapendaga kuonekana wao ndo kichwa na wanaheshika. Sio unarekebishwa tabia na mumeo, unaishia kununa siku tatu ndani hapaeleweki. Umenunaaaaa hatari.
8. Msijibweteke. Maisha ya sasa ni kusaidiana. So jishughulishe mtoto wa kike. Ukiwa na kakitega uchumi kako si mbaya. Hata mume anakuheshim.

#Habari#Risi wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi afunguka juu ya maamuzi yaliyofanyika Dodoma.
Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaj Ali Hassan Mwinyi amesema
kuwa shughuli ya kupata mgombea urais kwa tiketi ya CCM haikuwa rahisi na
akashukuru kwamba imemalizika kwa amani.
Mchakato huo ulihitimishwa Julai 12 mjini Dodoma wakati Mkutano Mkuu wa CCM ulipopitisha jina la Dk John Magufuli kugombea nafasi ya kuongoza Serikali ya Awamu ya Tano baada ya Rais Jakaya Kikwete kumaliza muda wake mwishoni mwa mwaka.
Jumla ya makada 38 walijitokeza kuwania nafasi hiyo, na majina matano ndiyo yaliyopitishwa kwenda Halmashauri Kuu na baadaye matatu kwenda Mkutano Mkuu.
Mchakato wa urais ndani ya CCM ambao kwa kawaida hutawaliwa na msuguano kabla ya kumalizika kwa maridhiano, safari hii ulienda mbali zaidi baada ya wajumbe watatu wa Kamati Kuu kupinga nje ya kikao uamuzi wa chombo hicho na baadaye wajumbe wa Halmashauri Kuu kumwimbia mwenyekiti wao, Jakaya Kikwete wimbo wa kuonyesha wana imani na Edward Lowassa baada ya jina la mbunge huyo wa Monduli kuenguliwa na Kamati Kuu.
Jana, akitoa hotuba fupi baada ya kumalizika kwa sala ya Eid el Fitr kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, Mwinyi alizungumza kwa mara ya kwanza hadharani kuhusu mchakato huo, akidokeza hali ilivyokuwa.
“Haikuwa kazi rahisi kwenye mchakato huu wa kumtafuta mgombea mmoja atakaye peperusha bendera ya CCM,” alisema Mwinyi lakini akawahi kuipoza kauli hiyo kwa kuelezea amani ilivyotawala mwishoni.
“Kama ni jahazi basi sasa tunashukuru limefika pwani salama.”
“Uchaguzi huu ni kwa ajili ya kuwapata viongozi wetu, tunataka viongozi bora wa kutuletea maendeleo, mapatano na wenye mahaba na wananchi.”
Akizungumza hadharani kwa mara ya kwanza baada ya mchakato huo wa kumtafuta mgombea wa urais kukamilika mjini Dodoma, Mzee Mwinyi alimshukuru Mungu kwa mchakato huo kuisha salama.
“Haikuwa kazi rahisi kwenye mchakato huu wa kumtafuta mgombea mmoja atakaye peperusha bendera ya CCM, kama ni jahazi basi sasa tunashukuru limefika pwani salama.
“Sasa, ninawaomba Watanzania kuwa watulivu katika kipindi hiki cha uchaguzi wa nchi tunaoufanyika kila baada ya miaka mitano,“ alisema Rais Mwinyi ambaye alikuwa mmoja ya wajumbe wa Baraza la Ushauri waliofanya kazi ya kutuliza wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM hadi kuafikiana kuendelea na mchakato wa kumpata mgombea urais.
Aliwasisitizia Watanzania kuacha tabia ya kupenda mno na kuacha kubaguana, akisema hakuna aliye bora na kuwataka kuzidisha mapenzi miongoni mwao na kusherehekea vyema Sikukuu ya Eid el Fitr.
“Hakuna jambo lenye maana kama hili la kumshukuru Mwenyezi Mungu ambaye kutufikisha salama siku kama hii ya leo (jana) ambayo tunasherekea Sikukuu ya Eid,” alisema Mwinyi.
Awali Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum aliwasisitizia wananchi umuhimu wa kusherekea sikukuu hiyo katika hali ya amani na utulivu.
Pia, aliwashauri wazazi na walezi kuwapeleka watoto wao sehemu zenye maadili ili washerehekee kama ambavyo Mwenyezi Mungu anapenda.
“Leo (jana) ni siku ya furaha, naomba tusherekee maeneo salama pia Waislamu msisahau kufunga sita kwani ina malipo makubwa,” alisema Alhad Salum.
Mkoani Geita ambako ilifanyika sala ya kitaifa ya Eid, Makamu wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilal alihutubia Baraza la Eid na kusema kipindi hiki kinahitaji utulivu, kuelewa na kuheshimiana pamoja na kudumisha uhusiano ili Taifa lipate viongozi bora.
“Tuwe watulivu ili Tanzania ibaki kuwa nchi ya kukimbiliwa na isiwe nchi ya kukimbiwa... sisi tusiwe wakimbizi, tuwe watu wa kupendana, kuvumiliana na kuthaminiana. Tusifikie hatua ya kuchukiana, kuuana na kufanyiana ukatili,” alisema Dk Bilal.
Alisema amani inaweza kuvunjwa na mtu yoyote kwa namna yoyote ile, akaharibu mazuri na heshima ya Taifa na akawaomba wananchi na waumini wote wasifikie hatua hiyo akisema ndiyo wenye uwezo wa kuifanya nchi yao kuwa ya amani.
“Tuishi kwa kuheshimiana, kupendana na kuvumiliana tushikamane katika, hali iliyopo sasa kwa nchi yetu siyo nzuri. Si ajabu hivi sasa tunavyoongea kuna sehemu mabomu yametokea, si ajabu kuna watu wameuawa kikatili. Hii yote ni sababu watu sasa wanapoteza misingi ya kuheshimiana, upendo na kuvumiliana,” alisema Bilal kwenye Viwanja vya Karangara.
Awali Katibu Mkuu wa Baraza la Waislamu Tanzania, Bakwata, Sheikh Suleiman Lolela alisema waumini na wananchi wote waitumie vyema nafasi ya Uchaguzi Mkuu kuhakikisha wanachagua viongozi bora watakaoendeleza amani.
Kisiwani Unguja, Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein amewataka viongozi wa vyama vya siasa, taasisi za kijamii na madhehebu ya dini kulinda na kuheshimu msingi na malengo ya kuanzishwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) wakati huu wa kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba.
Akiuhutubia kwenye Baraza la Eid el Fitr lililofanyika Ukumbi wa Bwawani na kuhudhuriwa pia na Makamu wa Kwanza wa Rais, Maalim Seif Sharif Hamad jana, Dk Shein alisema viongozi wa kisiasa wanapaswa kufanya siasa kwa kuzingatia misingi ya Katiba na sheria kwa madhumuni ya kuendeleza na kulinda amani na umoja wa kitaifa kwa manufaa ya Zanzibar na wananchi wake.
“Tunaweza kushindana bila ya kulaumiana, kukejeliana na tunaweza kushindana bila ya kudharauliana au kuhasimiana,” alisema Dk Shein kwenye shughuli hiyo iliyotaliwa na hali ya utulivu.
Alieleza kuwa vyama vya siasa vimeanzishwa na vipo kwa ajili ya kushindana kwa sera kwa madhumuni ya kuchochea maendeleo ya Zanzibar na siyo kugombanisha watu na kuvuruga misingi ya amani na umoja wa kitaifa.
Kwenye Uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma, sheikh wa mkoa, Ahmed Zuber aliwataka Watanzania kudumisha amani na umoja.
Zuber alisema dunia sasa imechafuka kutokana na uvunjifu wa amani unaochochewa na siasa chafu hivyo Watanzania bila kujali dini wala itikadi zao wanapaswa kuilinda amani iliyopo sasa.
“Tunahitaji utulivu. Nchi nyingi huharibikiwa kipindi kama hiki cha uchaguzi, amani hupotea kipindi hiki cha uchaguzi. Ndugu zangu Waislamu na msio Waislamu tukiichezea amani hii iliyopo sasa, tujue hakika hatuna kwa kukimbilia,” alisema.Mkoani Tanga, imamu wa Msikiti wa Ibadhi, Sheikh Mohammed Said aliitaka jamii kudumisha amani na utulivu uliopo na kuacha kushabikia vyama vya siasa.
Sheikh huyo alisema ni wajibu wa kila mtu kutambua kuwa amani iliyopo ikitoweka ni vigumu kuirejesha na hivyo kila mmoja ahakikishe anatambua wajibu wake.
Alisema wakati wa uchaguzi, hutokea jamii kuhamasishana kwa mambo ya kisiasa, jambo ambalo alisema ni baya na halifai kutokea na hivyo kutaka kila mmoja kuwa mlinzi wa mwenzake.Mkoani Lindi, Sheikh Salimu Nalinga akitoa salamu za Eid el Fitr aliwataka Waislamu kuchagua viongozi waadilifu ili kuifanya nchi kuendelea kuwa ya amani na utulivu.