Wednesday, 15 July 2015

Fahamu mapenzi ya shanga wakati ukiwa kitandani na mpenzi wako hapa.

Ukitaka kumteka vizuri mpenzi wako akikisha ukiwa nae kitandani usisahau kuvaa shanga ili kumvutia mpenzi wako ki mapenzi na kuweza kukumbuka mara kwa mara ile shanga iliyo mpa washa washa.

0 comments:

Post a Comment